P. E. D
Mi ni nicky!
honorary degree
nickso to nickdee, nicko
masters, phd
Daktari!
Uko mbele
nyuma pia
lakini mbona,
umevai tebu ona
siezi bite labda flight
get down.
nchapie hizo riba
full back
nacheza holding mid
nadai tumeet
tumeat na tusiwai beef
bff, ff sana sana
Shoe game
up down
leather fiti
letter A
utakatika nlewe?
haina ile
si vile
mabushe na kahawa
Inaweza
cheki,
left right
bigie
ok, kiasi yake
niperspective!
Janta fiti,
hauitaji doh kufika hapo
kalesah
ah
tesa!
Ambition
mi na mabrathe
tujae wanja wa mbuzi, temeke, santiago, anfield, emirates, Wembley!
Ni daro pia
zile za
cijui ni dare beard
rizla, nare pia
1 2
mic
check
chipo
back stage
side peck
Nakupenda nayo
hiyo tender nayo?
ni mbali
click! click!
tuma!
Shy on tv
fly on booth
high on hills
low boot
lowkey
New signing
bad timing
mark timing
squat!
nick a come
nick a vibe
nick a stiep outta di spot!


No comments: